5 Juni 2012 - 19:30

Habari kutoka Libya, zaeleza kuwa Seiful Islamu (mtoto wa dikteta wa zamani wa Libya) amefanikiwa kutoroka katika jela alokuwa amefungwa akisaidiwa na mshauriwake.

Habari kutoka Libya, zaeleza kuwa Seiful Islamu (mtoto wa dikteta wa zamani wa Libya) amefanikiwa kutoroka katika jela alokuwa amefungwa akisaidiwa na mshauriwake. Seiful Islamu ametoroka katika jela hiyo na kuondoka nchini humo  akisaidiwwa na mshauri wake wa kisiasa(Muhammad Rashidi), na hivi sasa yasemekana yuko katika uanja wa ndege wa Niger.